Kikoch ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wakoch. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikoch nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 30,000. Pia kuna wasemaji 6000 nchini Bangladesh (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikoch iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoch kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.