Kikodava ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakodava. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikodava imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikodava iko katika kundi la Kitamil.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikodava kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.