Kikofei ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakofei. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikofei imehesabiwa kuwa watu 100, na wasemaji wameanza kuacha lugha yao. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikofei iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikofei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.