Kikohin (pia Kiseruyan) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakohin kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikohin imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikohin iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikohin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.