Kikohistani cha Indus

Kikohistani ya Indus ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wakohistani. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kikohistani ya Indus imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikohistani ya Indus iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikohistani cha Indus kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.