Kikok-Borok ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wakok-Borok. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikok-Borok nchini Unhindi imehesabiwa kuwa watu 778,000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Bangladesh. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikok-Borok iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikok-Borok kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.