Kikoli-Parkari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wakoli. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikoli-Parkari imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikoli-Parkari iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoli-Parkari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.