Kikom ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakom. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kikom ilihesabiwa kuwa watu 233,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikom iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikom (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.