Kikom (Uhindi)
Kikom ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakom. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikom imehesabiwa kuwa watu 14,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikom iko katika kundi la Kisal.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikom kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikom Archived 4 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikom katika Glottolog
- lugha ya Kikom kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikom (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |