Kikomi-Permyak

lugha

Kikomi-Permyak ni lugha ya Kiurali nchini Urusi inayozungumzwa na Wakomi. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikomi-Permyak imehesabiwa kuwa watu 63,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikomi-Permyak iko katika kundi la Kiperm.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikomi-Permyak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.