Kikomo (Kongo)
Kikomo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakomo. Isichanganywe na lugha ya Kikomo nchini Ethiopia. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikomo imehesabiwa kuwa watu 400,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikomo iko katika kundi la D30.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikomo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikomo Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikomo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kmw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikomo (Kongo) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |