Kikonda ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakonda. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kikonda imehesabiwa kuwa watu 500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikonda iko katika kundi la “South Bird's Head”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikonda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.