Kikonjo cha Pwani

(Elekezwa kutoka Kikonjo ya Pwani)

Kikonjo ya Pwani (pia Kitiro) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakonjo, Wakajang na Watiro kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kikonjo ya Pwani imehesabiwa kuwa watu 125,000 ambao 50,000 ni Wakajang na 10,000 ni Watiro. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikonjo ya Pwani iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikonjo cha Pwani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.