Kikoro ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakoro au Waaka. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikoro imehesabiwa kuwa watu 1500. Kuhusu uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi Kikoro haijaainishwa.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoro (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.