Kikosi Cha Kuzuia Magendo

Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (kwa kifupi KMKM) ni kikosi cha cha ulinzi na usalama (jeshi) kwa ajili ya kulichoundwa kwa ajili ya kulinda uhuru wa Mzanzibar, bahari na mipaka yake [1] [2]

Historia hariri

Kikosi cha Kuzuia Magendo kinatokana na kilichokuwa kuwa kikosi cha wana maji cha Zanzibar kilichoundwa mwaka 1964 baada ya Mapinduzi ya Zanzibar kikiwa na malengo ya kulinda uhuru wa Mzanzibar. Kikosi hiki cha wanamaji kilifahamika kama Zanzibar Navy ambapo tarehe 1 Julai 1973 kilibadilishwa jina na kuitwa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo lakini kikiwa na malengo yale yale kama ya Zanzibar Navy.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kikosi Cha Kuzuia Magendo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.