Kikota ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakota. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikota imehesabiwa kuwa watu 930. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikota iko katika kundi la Kitamil-Kikannada.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikota (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.