Kikoya ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakoya. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikoya imehesabiwa kuwa watu 362,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikoya iko katika kundi la Kigondi-Kui.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.