Kikoyraboro-Senni (au Kisonghay-Mashariki) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Mali inayozungumzwa na Wasonghay. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikoyraboro-Senni imehesabiwa kuwa watu 430,000; wasemaji 300,000 huongea Kikoyraboro tu bila kufahamu lugha nyingine. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikoyraboro-Senni iko katika kundi la Kisonghay.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoyraboro-Senni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.