Kikpelle ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea inayozungumzwa na Wakpelle. Ni lugha tofauti na lugha ya Kikpelle ya Liberia. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikpelle imehesabiwa kuwa watu 308,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikpelle iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikpelle (Guinea) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.