Kikposo
Kikposo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo inayozungumzwa na Wakposo. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikposo nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 155,000. Pia kuna wasemaji 7500 nchini Ghana. Pia lugha huitwa Ikposo (hasa Togo) au Akposo (hasa Ghana). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikposo iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikposo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikposo Archived 9 Februari 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikposo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kpo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikposo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |