Kikrumen-Plapo
Kikrumen-Plapo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waplapo. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikrumen-Plapo imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikrumen-Plapo iko katika kundi la Kikru.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiplapo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiplapo Archived 4 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiplapo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ktj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikrumen-Plapo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |