Kikrumen-Tepo

Kikrumen-Tepo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire na Liberia inayozungumzwa na Wakrumen. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikrumen-Tepo nchini Cote d'Ivoire imehesabiwa kuwa watu 28,300. Pia kuna wasemaji 2910 nchini Liberia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikrumen-Tepo iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikrumen-Tepo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.