Kikukatja

lugha ya asili ya Australia

Kikukatja ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakukatja katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikukatja 440. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikukatja kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikukatja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.