Kikulango-Bondoukou
Kikulango-Bondoukou ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire na Ghana inayozungumzwa na Wakulango. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikulango-Bondoukou nchini Cote d'Ivoire imehesabiwa kuwa watu 77,000. Pia kuna wasemaji 27,000 nchini Ghana. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikulango-Bondoukou iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikulango-Bondoukou kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikulango-Bondoukou Archived 7 Januari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikulango-Bondoukou katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kzc
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikulango-Bondoukou kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |