Kikulango-Bouna ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire na Ghana inayozungumzwa na Wakulango. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikulango-Bouna nchini Cote d'Ivoire imehesabiwa kuwa watu 142,000. Pia kuna wasemaji 15,500 nchini Ghana. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikulango-Bouna iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikulango-Bouna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.