Kikulfa
Kikulfa ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wakulfa. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikulfa imehesabiwa kuwa watu 2200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikulfa iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikulfa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikulfa Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikulfa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kxj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikulfa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |