Kikumam
Kikumam ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Wakumam. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikumam iko katika kundi la Kinilotiki.
Mwaka wa 2014 idadi ya wasemaji wa Kikumam imehesabiwa kuwa watu 270,000.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikumam kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikumam Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikumam katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kdi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikumam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |