Kikumhali

Kikumhali ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal inayozungumzwa na Wakumhali. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikumhali imehesabiwa kuwa watu 12,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikumhali iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikumhali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.