Kikunyi ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wakunyi. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kikunyi imehesabiwa kuwa watu 52,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikunyi iko katika kundi la H10.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikunyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.