Kikur ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakur kwenye kisiwa cha Kur na vinginevyo vya jirani. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikur imehesabiwa kuwa watu 3180. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikur iko katika kundi la Kiteor-Kur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikur kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.