Kikurnai (pia Kiganai) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakurnai katika jimbo la Victoria. Mwaka wa 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikurnai 26 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikurnai kiko katika kundi la Kiganaiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikurnai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.