Kikurrama
lugha ya asili ya Australia
Kikurrama ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakurrama katika jimbo la Australia Magharibi. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kikurrama kumi tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikurrama kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikurrama kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikurrama Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikurrama katika Glottolog
- lugha ya Kikurrama katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikurrama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |