Kikurudu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakurudu kwenye kisiwa cha Kurudu na vinginevyo. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikurudu imehesabiwa kuwa watu 2180. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikurudu iko katika kundi la Kiyapen.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikurudu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.