Kikurux ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wakurux. Ni tofauti na Kikurux ya Nepali. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikurux nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 1,750,000. Pia kuna wasemaji 50,000 nchini Bangladesh (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikurux iko katika kundi la Kidravidi ya Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikurux kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.