Kikusunda

Kikusunda ni lugha nchini Nepal inayozungumzwa na Wakusunda. Mwaka wa 2014 idadi ya wasemaji wa Kikusunda imehesabiwa kuwa watu watatu tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikusunda haihusiani na lugha nyingine yoyote bila shaka.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikusunda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.