Kikutep ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakutep. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikutep nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 44,600. Pia kuna wasemaji 1400 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikutep iko katika kundi la Kijukunoidi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikutep kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.