Kikuvi ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakuvi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikuvi imehesabiwa kuwa watu 158,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuvi iko katika kundi la Kidravidi ya Kusini-Kati.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikuvi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.