Kilü ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina, Myanmar, Laos, Vietnam na Uthai inayozungumzwa na Walü. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilü nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 280,000. Pia kuna wasemaji 123,000 nchini Laos (2005), 60,000 nchini Myanmar (2013), 4960 nchini Vietnam (1999) na 83,000 nchini Uthai (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilü iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilü kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.