Kilaba
Kilaba ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Walaba. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kilaba imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilaba iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilaba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilaba
- lugha ya Kilaba katika Glottolog
- lugha ya Kilaba kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilaba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |