Kiladakhi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Uchina inayozungumzwa na Waladakhi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiladakhi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 105,000. Pia kuna wasemaji 12,000 nchini Uchina (1995). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiladakhi iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiladakhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.