Kiladji-Ladji

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kiladji-Ladji kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waladji-Ladji katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiladji-Ladji, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiladji-Ladji kiko katika kundi la Kikulin.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiladji-Ladji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.