Kilahu-Shi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina, Myanmar, Uthai na Laos inayozungumzwa na Walahu. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kilahu-Shi imehesabiwa kuwa watu 117,000 nchini Uchina, 60,000 nchini Myanmar, 15,000 nchini Uthai na 3000 nchini Laos. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilahu-Shi iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilahu-Shi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.