Kilaiyolo (pia Kibarang-Barang) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walaiyolo na Wabarang-Barang kwenye kisiwa cha Selayar. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kilaiyolo imehesabiwa kuwa watu 800, yaani Walaiyolo 250 na Wabarang-Barang 550. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaiyolo iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilaiyolo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.