Kilakkia (au Kilakkja) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina na Laos inayozungumzwa na Walakkia. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kilakkia imehesabiwa kuwa watu 9000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilakkia iko katika kundi lake lenyewe la Kilakkja.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilakkia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.