Kilama ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo na Benin inayozungumzwa na Walama. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kilama nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 117,000. Pia kuna wasemaji 60,000 nchini Benin na wasemaji wachache nchini Ghana. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilama iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.