Kilamnso'

Kilamnso' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Walamnso'. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kilamnso' imehesabiwa kuwa watu 125,000. Pia kuna wasemaji nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamnso' iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilamnso' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.