Kilampung-Nyo
Kilampung-Nyo (pia Kiabung) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walampung kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilampung-Nyo imehesabiwa kuwa watu 180,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilampung-Nyo iko katika kundi la Kilampung.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilampung-Nyo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilampung-Nyo Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilampung-Nyo katika Glottolog
- lugha ya Kilampung-Nyo kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilampung-Nyo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |