Kilasi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Walasi. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kilasi imehesabiwa kuwa watu 11,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilasi kiko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilasi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.