Kilefa
Kilefa ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Walefa. Idadi ya wasemaji wa Kilefa imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilefa iko katika kundi la A50.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kilefa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilefa Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilefa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lfa
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilefa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |