Kilegenyem ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walegenyem kwenye kisiwa cha Waigeo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilegenyem imehesabiwa kuwa watu 250 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilegenyem iko katika kundi la Kiraja-Ampat.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilegenyem kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.